JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania  Mhe.Prof.Ibrahim Khamis Juma wakifuatana pamoja na  Majaji Wakuu wa Mahkama kuu Zanzibar wakiingia katika uwanja wa sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika Leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika Leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid(kulia)wakati alipowasili katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika Leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

Mwasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Talib Mwinyi Haji alipokuwa akitoa  salamu zake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika Leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hypo pichani) alikuwa Mgeni rasmi kaaika hafla hiyo.

Jaji Mkuu wa  Jamhuri ya Muungano waTanzania  Mhe.Prof.Ibrahim Khamis Juma alipokuwa akitoa  salamu zake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika Leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hypo pichani) alikuwa Mgeni rasmi kaaika hafla hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha kitabu cha Mahkama mara baada ya kukizindua leo katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Jaji Mkuu wa  Jamhuri ya Muungano waTanzania  Mhe.Prof.Ibrahim Khamis Juma (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akipokea Tunzo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kushoto) katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja  (kutoka kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla,Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Mgeni Hassan Juma na Waziri Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,pia Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi  wa Umma na Utawala  Bora Mhe.Hamza Hassan Juma.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

Baadhi ya Viongozi na Wananchi mali mali walioalikwa  katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi .[picha na Ikulu