
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Zahanati ya Kagunga wilayani Tanganyika Mkoa wa Katavi akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi ya. Mkoa huo, Disemba 12, 2022. Kushoto ni Mbunge wa Mpanda Vijijini, Selemani Kakoso, wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta. Kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, wa nne kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Festo Dugange na wa tatu kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanganyika na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Onesmo Mpuya Buswelu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapongeza mafundi wanaojenga Zahanati ya Kagunga wilayani Tanganyika mkoani Katavi baada ya kuvutiwa na ujenzi wa viwango vya juu waliofanya katika Zahanati hiyo aliyoikagaua akiwa katika ziara ya kikazi ya Mkoa huo, Disemba 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
