Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt Mohamed Ali  Shein akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Maalum ya CCM kilichoketi Leo Septemba 20, 2022  Afisi Kuu ya CCM  kisiwanduzi Zanzibar.

WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia Kikao hicho kikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, kilichofanyika leo 20-9-2022, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar. (PICHA Zote na Fahadi Siraji / CCM Makao Makuu)