Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Kinana  amesaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Septemba 12, 2022.