Home Mchanganyiko RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI TENA

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI TENA

0

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Macocha Moshe Tembele kuwa Balozi wa Tanzania nchini Indonesia.

Kabla ya uteuzi huo, Balozi Tembele alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa (Multilateral Cooperation).

Uteuzi huu unaanza mara moja.