SERIKALI YA AUSTRIA NA SHIRIKA LA C.I.P WAWEZESHA MAFUNZO YA LUGHA YA ALAMA WAZAZI WENYE WATOTO VIZIWI-SINGIDA

  Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Community Initiatives Promotion (CIP) la mkoani Singida, Afesso Ogenga akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya lugha ya alama yaliyowahusisha Wazazi na Walezi mkoani Singida jana. Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika hilo Parinemas Mashanjara akizungumza katika hafla hiyo. Afisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Singida, Tumaini Christopher … Continue reading SERIKALI YA AUSTRIA NA SHIRIKA LA C.I.P WAWEZESHA MAFUNZO YA LUGHA YA ALAMA WAZAZI WENYE WATOTO VIZIWI-SINGIDA