Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya Wawakilishi kutoka nchi za SADC waliofika kumpokea alipowasili Jijini Washington Nchini Marekani kwa ajili ya kuanza ziara ya Kikazi leo tarehe 13 April 2022.
RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN,AWASILI JIJINI WASHINGTON MAREKANI
By Alex Sonna
April 14, 2022 | 5:30 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
44 minutes ago
ISMANI WAJITOKEZA KWA WINGI KUMCHAGUA MRITHI WA LUKUVI
Wananchi wa Kijiji cha Mkungugu jimbo la Ismani katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa wakiwa katika foleni ya kupiga kura ya kumchagua…
Mchanganyiko
1 hour ago
WATU WANNE WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI KUACHA NJIA NA KUPINDUKA MKOANI MBEYA.
Mei 31, 2026 saa 9:10 alasiri huko maeneo ya maji mazuri katika barabara ya Mbeya – Chunya, Gari yenye namba za usajili T134DFB aina…


