Mwanafunzi kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Simni Mbarouk akitoa maelezo kwa waratibu wa mashindano ya sayansi na ubunifu kuhusu mfumo wa umwagiliaji mashambani ambao unafanya kazi sa 12 asubuhi na jioni kwa kutumia kiwango cha unyevunyevu katika udongo, hafla iliyofanyika katika Taasisi hiyo Mbweni Mjini Zanzibar.
Mwanafunzi kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) Tariq Abeid akitoa maelezo kwa waratibu wa mashindano ya sayansi na ubunifu kuhusu wa Mfumo wa kugundua uvujaji wa gesi, hafla iliyofanyika katika Taasisi hiyo Mbweni Mjini Zanzibar.
Mwanafunzi kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) Gulam Ali akielezea kuhusu Mfumo wa upimaji wa mafuta katika matenki pamoja na maeneo ya kuhifadhia mafuta.
Waratibu wa Mashindano ya Sayansi na Ubunifu wakiwa katika Picha ya pamoja na Wanafunzi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) mara baada ya kupata maelezo na kukagua Ubunifu uliyofaywa na Wanafunzi wa Taasisi hiyo, hafla iliyofanyika katika Taasisi hiyo Bweni Zanzibar.
PICHA NA MARYAM KIDIKO /TAASISI YA KARUME ZANZIBAR.