Washiriki katika maonyesho ya kwanza ya kazi za ubunifu wa Tehama wakifuatilia maonyesho hayo yaliofanyika Ukumbi wa skuli ya Utalii Maruhubi  Zanzibar.

????????????????????????????????????
????????????????????????????????????

 Mkurugenzi Tehama Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali  Zanzibar Omar S. Ali akiangalia  baadhi ya kazi za ubunifu wa tehama zilizofanywa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa  SUZA katika maonyoesho ya kwanza ya  siku  ya UBUNIFU WA TEHAMA yaliyofanyika Ukumbi wa  Skuli ya Utalii Maruhubi Zanzibar. 

????????????????????????????????????

Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Prof. Mohammed Makame Haji akizungumza na kumkaribisha mgeni rasmi kuhutubia katika maonyesho ya kwanza ya kazi za ubunifu wa tehama huko Ukumbi wa Skuli ya Utalii Maruhubi Zanzibar.

????????????????????????????????????

Mkurugenzi Tehama Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Omar S. Ali akifungua maenyoshe ya kwanza ya ubunifu wa  tehama kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu  na Mafunzo ya Amali,  huko Ukumbi wa skuli ya Utalii Maruhubi Zanzibar.

Mkurugenzi Tehama Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Omar S. Ali (wakwanza kulia) akisikiliza maelezo kuhusu mfumo wa kuskani namba za bidhaa ili kuweza kutambua ubora wa bidhaa hiyo,maelezo hayo yakitolewa na  Mbunifu kutoka Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Mohammed mshimba seif wakati wa  maonyesho ya kazi za UBUNIFU WA TEHAMA yaliyofanyika Skuli ya Utalii Maruhubi Zanzibar.

PICHA NA FAUZIA MUSSA – MAELEZO ZANZIBAR.