Home Biashara RAIS DK.MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KIUCHUMI KUELEKEA MIAKA 60 YA UHURU

RAIS DK.MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KIUCHUMI KUELEKEA MIAKA 60 YA UHURU

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na baadhi ya Mawaziri wa SMZ na SMT,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaji Zanzibar, kuhudhuria Kongamano la Kiuchumi la Wawekezaji, kuelekea Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.(iliyokuwa Tanganyika).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Uwekazeji Kiuchumi Tanzania ikiwa ni kuelekea katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.(iliyokuwa Tanganyika) lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, kuwashirikisha Wawekezaji kutoka Nje ya Nchi na Tanzania.

Baadhi ya Mwaziri na Viongozi wengine wakiwa katika Kongamano la  Uwekezaji kuelekea kilele cha  Maaadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa iliyokuwa Tanganyika lililofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Nje ya Jiji la Zanzibar.

WAWEKEZAJI kutoka Nchini China wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la  Wawekezaji Kiuchumi kuadhimisha Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara (iliyokuwa Tanganyika) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.

WASHIRIKI wa Kongamano la Kiuchumi la Wawekezaji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akilifungua Kongamano hilo la kuadhimisha Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.(iliyokuwa Tanganyika) lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaji Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Pongezi cha Ushindi wa Mlipa Kodi Bora kilichotolewa na TRA Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB,Bi.Ruth Zaipuna,wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Wawekezaji Kiuchumi kuadhimisha Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.(iliyokuwa Tanganyika) lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Pongezi kwa kuajiri Wafanyakazi wengi Kagera Sugar Company Mkurugenzi Mtendaji.S.A.Seif,wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Wawekezaji Kiuchumi kuadhimisha Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.(iliyokuwa Tanganyika) lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.(Picha na Ikulu)