Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa wakati alipo mtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo tarehe 26 Oktoba 2021. Kushoto Mke wa Mhe. Lowassa Mama Regina Lowassa. PICHA NA IKULU.
RAIS SAMIA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE.LOWASSA KUMJULIA HALI
By Alex Sonna
October 26, 2021 | 11:38 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
3 minutes ago
MHE. SOULEYMANE APENDEZWA NA KAZI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
Na Sixmund Begashe, Arusha MAKAMU wa Rais wa Seneti ya Ivory Coast ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Masuala ya Kijamii na Kitamaduni…
Mchanganyiko
9 minutes ago
BRELA YAWATAKA WASANII KUSAJILI KAZI ZAO.
Msaidizi wa Usajili Mkuu, kutoka BRELA, Nassoro Mtavu, wakati akizungumza kwenye Tamasha la Arusha Artisan Festival linaloendelea katika viwanja vya General Tyre, Njiro jijini…


