Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika ujenzi wa kituo cha Afya cha Kata ya Mvuleni kwenye jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Oktoba 26, 2021. Kushoto ni mbunge wa jimbo la Mchinga Salma Kikwete.
MAJALIWA ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MVULENI KATIKA JIMBO LA MCHINGA
