Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (kulia) akizungumza na  Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya  Hifadhi za jamii  Tanzania Bara na Zanzibar     walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (katikati) akizungumza na  Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Huduma za jamii  Tanzania Bara na Zanzibar   (kushoto pichani) walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (kulia) akizungumza na  Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya  Hifadhi   ya jamii Tanzania Bara na Zanzibar  walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar leo (katikati) Mkurugenzi Mkuu ZSSF Nd.Nassor Ameir 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (katikati) akizungumza na  Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Huduma za jamii  Tanzania Bara na Zanzibar   (kushoto pichani) walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na  Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Huduma za jamii  Tanzania Bara na Zanzibar   (kushoto pichani) walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu