Home Mchanganyiko RAIS DK.MWINYI AWASILI MKOANI GEITA CHATO LEO

RAIS DK.MWINYI AWASILI MKOANI GEITA CHATO LEO

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi mbalimbali wa Serikali Uwanja  wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Wilaya ya Chato Mkoani Geita, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbikizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama na Viongozi mbalimbali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Geita Chato leo 13/10/2021, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.(Picha na Ikulu)