Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma wakati alipowasili katika viwanja vya Mahakama ya Mwanzo Kibaigwa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 7, 2021, Wapili kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Najma Giga na Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Mhe. Remedius Mwema
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma wakizindua ofisi za Mahakama ya Mwanzo Kibaigwa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma,



