Home Biashara KAMPENI YA “KIMBIZA NA 4G YA UKWELI” YAENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM

KAMPENI YA “KIMBIZA NA 4G YA UKWELI” YAENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM

0
Mkuu wa Mauzo wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen akimuelezea mkazi wa Manzese jijini Dar es Salaam baadhi ya huduma zitolewazo na kampuni hiyo kwenye kampeni ya ‘Kimbiza na 4G ya Ukweli’. Kampeni hiyo ina lengo la kuifahamisha jamii kuhusu kasi na uhakika wa mtandao wake unaowezeshwa na uwekezaji makini katika teknolojia pamoja na upana wa huduma zinazotolewa kwa wateja wake.
 
Msanii wa kizazi kipya Zena Mohammed maarufu kama Shilole akimuelezea mkazi wa Manzese jijini Dar es Salaam baadhi ya huduma zitolewazo na kampuni hiyo kwenye kampeni ya ‘Kimbiza na 4G ya Ukweli’. Kampeni hiyo ina lengo la kuifahamisha jamii kuhusu kasi na uhakika wa mtandao wake unaowezeshwa na uwekezaji makini katika teknolojia pamoja na upana wa huduma zinazotolewa kwa wateja wake.
 
Msanii wa kizazi kipya Zena Mohammed maarufu kama Shilole akiwaelimisha wakazi wa Dar es Salaam kuhusu kampeni ya Vodacom Tanzania ya ‘Kimbiza na 4G ya Ukweli’ iliyofanyika mwishoni mwa wiki Manzese jijini Dar es Salaam. Kampeni hiyo ina lengo la kuifahamisha jamii kuhusu kasi na uhakika wa mtandao wake unaowezeshwa na uwekezaji makini katika teknolojia pamoja na upana wa huduma zinazotolewa kwa wateja wake.