Mkuu wa Wilaya ya Moshi, *Mhe. Godfrey Mnzava*, amezindua rasmi mitambo miwili ya ukarabati wa barabara yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 600,…
1. Shilingi ya Tanzania, ni vema iheshimiwe, Jinsi tunavyotumia, kwa uzuri itumiwe, Sifa kuiharibia, ni vema kulaaniwe, Kuzitupatupa noti, wala siyo jambo jema. 2.…