Home Mchanganyiko KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA NA KUFUNGULIWA KWA AWAMU YA PILI YA...

KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA NA KUFUNGULIWA KWA AWAMU YA PILI YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2021/2022

0

Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa kitangaza kufunguliwa kwa Awamu ya Pili ya Udahili wa Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kuanzia Agosti 24 hadi Septemba 6, 2021.