Home Mchanganyiko MAJALIWA AKAGUA GHALA KUU LA KAKAO LA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA WILAYA...

MAJALIWA AKAGUA GHALA KUU LA KAKAO LA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA WILAYA YA KYELA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mbegu za kakao wakati alipokagua Ghala Kuu la Kakao wilaya ya Kyela akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Mbeya, Agosti 2, 2021. Wa pili kulia ni Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson na kushoto ni Afisa ubora wa zao la Kakao, Erick Joshua.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua magunia ya katika Ghala Kuu la Kakao wilaya ya Kyela akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mbeya, Agosti 2, 2021. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)