Home Mchanganyiko WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR YAZINDUA MFUMO WA UKUSANYAJI WA MAPATO...

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR YAZINDUA MFUMO WA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI (ZANMALIPO)

0

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali akiwa na watendaji wake wakuu wakifuatilia uwasilishwaji wa muhtasari wa mfumo wa ZanMalipo kutoka kwa Mkuu wa utengenezaji wa Mfumo huo Masoud Mmanga Hamad katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo Vuga Mjni Zanzibar.

Naibu Katibu Mkuu Fedha na Mipango Aboud Hassan Mwinyi (kulia) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Serekali Mtandao Said Seif Said wakifuatilia uwasilishwaji wa muhtasari wa mfumo wa ZanMalipo uliofanyika Ukumbi wa Mikutano Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.

Mwanasheria mwandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Hussein Migoda akijaribu kufanya malipo ya Serikali kwa kutumia mfumo wa ZanMalipo katika hafla ya Uwasilishwaji wa mfumo huo iliyofanyia Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo Vuga Mjni Zanzibar.

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali akiuliza swali kwa Mkusanyaji mapato wa  Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii alipofanya ziara Ofisi kwao Mazizini Mjini Unguja.
Picha na Makame Mshenga.