Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati akielekea nchini Burundi kwa ajili ya ziara ya siku mbili leo tarehe 16 Julai, 2021. PICHA NA IKULU