Home Mchanganyiko RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA ETHIOPIA NCHINI TANZANIA.

RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA ETHIOPIA NCHINI TANZANIA.

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake  Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef Sanbe alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 15/07/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na mgeni wake  Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef Sanbe baada ya kujitambulisha na  mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 15/07/2021.