Home Mchanganyiko MAJALIWA AZUNGUMZA NA RAIS WA BENKI YA AFRIKA AKIWA KATIKA ZIARA YA...

MAJALIWA AZUNGUMZA NA RAIS WA BENKI YA AFRIKA AKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI MOROCCO

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Benki ya Afrika Othman Benjelloun, kwenye hoteli ya Sofitel Jijini Rabat, Morocco

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kitabu cha maelezo kuhusu Benki ya Afrika ambacho alikabidhiwa na Rais wa Benki hiyo, Othman Benjelloun  kwenye hoteli ya Sofitel Jijini Rabat, Morocco,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Rais wa Benki ya Afrika Othman Benjelloun zawadi ya biadhaa mbalimbali zinazozalishwa Tanzania, baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Sofitel  Jijini Rabat, Morocco

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongozana na Rais wa Benki ya Afrika Othman Benjelloun, baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Sofitel Jijini Rabat, Morocco, Julai 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)