Home Mchanganyiko RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA DUMILA WILAYANI KILOSA

RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA DUMILA WILAYANI KILOSA

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi  Dumila Wilayani Kilosa alipokuwa njiani akirejea Jijini Dodoma leo Julai 08,2021.