Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (watatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Jeshi la Magereza mkoani Dodoma baada ya kumaliza kikao cha ndani kilichohusisha Wafungwa na Mahabusu wa Gereza Isanga, ambapo alipata fursa ya kusikiliza maoni yao mbalimbali.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (wanne kushoto), akiangalia moja ya bidhaa inayotengenezwa na wafungwa wanawake wa Gereza Isanga,baada ya kumaliza kikao cha kusikiliza maoni mbalimbali ya wafungwa hao.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo(wapili kushoto), akiangalia moja ya bidhaa inayotengenezwa na wafungwa wanawake wa Gereza Isanga,baada ya kumaliza kikao cha kusikiliza maoni mbalimbali ya wafungwa hao.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Dodoma.
Mkuu wa Gereza Isanga, Mrakibu wa Magereza Chausiku Kizigo akimkabidhi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo moja ya bidhaa inayotengenezwa na wafungwa wanawake katika gereza hilo baada ya kumaliza kikao cha kusikiliza maoni mbalimbali ya wafungwa hao.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (watatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Jeshi la Magereza mkoani Dodoma baada ya kumaliza kikao cha ndani kilichohusisha Wafungwa na Mahabusu wa Gereza Isanga, ambapo alipata fursa ya kusikiliza maoni yao mbalimbali.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi