Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano UTT AMIS, Daudi Mbaga, akitoa mafunzo ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (Tanga – UWASA) katika kikao cha wafanyakazi wa UWASA Tanga Juni 10, 2021.
Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika sekta ya afya, hususan katika uzalishaji wa dawa na bidhaa za afya, uhamishaji wa teknolojia na uwekezaji, hatua…