Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MAJALIWA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MAJALIWA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA

0

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye jengo la Hazina, jijini Dodoma, Juni 10, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi  wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, Bungeni jijini Dodoma, Juni 10, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Manonga, Seif Khamis Gulamali, kwenye jengo la Utawala Bungeni jijini Dodoma, Juni 10, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Janet Masaburi kwenye viwanja vya  Bunge jijini Dodoma, Juni 10, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Morogoro Kusini, Hamisi Shaban Taletale, kwenye viwanja vya  Bunge jijini Dodoma, Juni 10, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)