Home Mchanganyiko LIVE :WAZIRI WA FEDHA ANAWASILISHA BAJETI KUU YA SERIKALI MWAKA 2021/2022

LIVE :WAZIRI WA FEDHA ANAWASILISHA BAJETI KUU YA SERIKALI MWAKA 2021/2022

0

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, akionesha Mkoba wenye Hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022,  Bungeni jijini Dodoma, Juni 10, 2021.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, akitoa Hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 kwenye mkoba kabla ya kusoma hotuba hiyo,  Bungeni jijini Dodoma, Juni 10, 2021. 

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, akisoma Hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022,  Bungeni jijini Dodoma, Juni 10, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)