Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai  akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka alipofika Ofisini kwake kujitambulisha Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge akiongoza kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka na Wabunge  wa Mkoa wa Dodoma Ofisini kwake Jijini Dodoma.

PICHA NA BUNGE