Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na  Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika  leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nao  .[Picha na Ikulu] 25/05/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (kulia) akizungumza na  Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika   kwa mazungumzo na Mhe.Rais  Ikulu Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 25/05/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na  Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika  leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nao .[Picha na Ikulu] 25/05/2021