Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA KATIKA SALA YA...

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA KATIKA SALA YA IJUMAA MSIKITI MASJID OMAR BIN KHATWAAB MSUMBIJI KWA MABATA MJINI UNGUJA LEO.

0

WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa nasaha zake mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Omar Bin Khatwaab Msumbiji Kwamabata  Jijini Zanzibar  ikiwa ni kawaida yake ya kujumuka na waumini Dini ya Kiislamu wa miskiti mbali mbali Nchini.(Picha na Ikulu) 21/05/2021.  

Imam wa Msikiti wa Msumbiji Kwamabata Masjid Omar Bin Khatwaab Sheikh Sharif Makame Hamadi (kulia) alipokuwa akimkaribisha Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi  kuzungumza na  Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa swala ya iliyofanyika leo katika msikiti huo kiwa ni kawaida yake ya kujumuka na waumini Dini ya Kiislamu wa miskiti mbali mbali Nchini. (Picha na Ikulu)21/05/2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipotoa nasaha zake  baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa ilioswaliwa  katika Masjid Omar Bin Khatwaab Msumbiji Kwamabata  Jijini Zanzibar leo ikiwa ni kawaida yake ya kujumuka na waumini Dini ya Kiislamu katika  misikiti mbali mbali Nchini.(Picha na Ikulu) 21/05/2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa nasaha zake mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Omar Bin Khatwaab Msumbiji Kwamabata  Jijini Zanzibar  ikiwa ni kawaida yake ya kujumuka na waumini Dini ya Kiislamu katika misikiti mbali mbali Nchini.(Picha na Ikulu) 21/05/2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali na waumini wa dini ya Kiislamu wakiitikia dua iliyoombwa  na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kushoto)  baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa  katika Masjid Omar Bin Khatwaab Msumbiji Kwamabata Jijini Zanzibar leo (kulia) Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume.(Picha na Ikulu) 21/05/2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiagana na Waumini wa Dini ya Kiislam  baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Omar Bin Khatwaab Msumbiji Kwamabata  Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.(Picha na Ikulu) 21/05/2021.