Home Mchanganyiko MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA DUA KWA RAIS SAMIA

MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA DUA KWA RAIS SAMIA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  katika hafla ya futari   iliyohudhuriwa na Viongozi wa  Dini,  na dua maalum kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama  Samia Suluhu Hassan, kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Mei 3, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)