Home Mchanganyiko WATUMISHI WIZARA YAMALIASILI NA UTALII WASHIRIKI MAANDAMANO YA MEI MOSI JIJINI DODOMA

WATUMISHI WIZARA YAMALIASILI NA UTALII WASHIRIKI MAANDAMANO YA MEI MOSI JIJINI DODOMA

0

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa kwenya maandamano kuelekea uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi.