RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi likiwa na mwili Marehemu Salum Zahro, wakati wa maziko hayo yaliofanyika katika Kijiji cha Mwera Wilaya Magharibi A Unguja leo 19-4-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume, baada ya kumalizika Sala ya kuusali mwili wa Marehemu Salum Zahor, iliofanyika katika msikiti wa Mwera (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya kusalia jeneza likiwa na mwili wa Marehemu Salum Zahro, ikiongozwa na Mtoto wa Marehemu Bw.Zahoro Salum, iliofanyika katika Msikiti wa Mwera leo 19-4-2021.(Picha na Ikulu)