Home Mchanganyiko MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

0

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 13, 2025.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mhandisi  Hamad Masauni  (katikati) na Mbunge wa Mpendae, Towfiq Turk (Katikati) ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 13, 2021. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tixon Nzunda  (kushoto), Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda (wa pili kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum, Rose Busiga, kwenye viwanja vya Bunge jijii Dodoma, Aprili 13, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Waajiri Tanzania, Dkt. Aggrey Mlinuka kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 13, 2921. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)