Home Mchanganyiko MAJALIWA AZUNGUMZA NA MAWAZIRI, MAKATIBU WAKUU, BAADHI YA MAKAMISHINA NA WAKUU WA...

MAJALIWA AZUNGUMZA NA MAWAZIRI, MAKATIBU WAKUU, BAADHI YA MAKAMISHINA NA WAKUU WA TAASISI

0

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano wa  Kazi wa Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Aprili 8, 2021.

Manaibu Mawaziri,  David Silinde, Ofisi ya Rais– TAMISEMI (kushoto) na Hussein Bashe wa Wizara ya Kilimo, wakinukuu maagizo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika Mkutano wa  Kazi wa Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Aprili 8, 2021.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Ummy Mwalimu (kushoto) akiteta na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinoloji, Profesa Joyce Ndalichako katika Mkutano wa  Kazi wa Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Aprili 8, 2021.

Baadhi ya Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makakatibu Wakuu, Manaibu  Makatibu Wakuu, Makamishina na Wakuu Taasisi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao katika Mkutano wa  Kazi wa Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Aprili 8, 2021.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Doroth Gwajima akimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika  Mkutano wa  Kazi wa Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Aprili 8, 2021.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy  Mwalimu akimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika  Mkutano wa  Kazi wa Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Aprili 8, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)