Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO MARCH 31,2021

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO MARCH 31,2021

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, Bungeni jijini Dodoma, Machi 31, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Urambo, Magret  Sitta, Bungeni jijini Dodoma, Machi 31, 2021.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu , Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kushoto), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi  (wa pili kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais   anayeshughulikia Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo (wa pili kulia), Bungeni jijini Dodoma, Machi 31, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Kasulu Mjini,  Profesa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Machi 31, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Bungeni  jijini Dodoma, Machi 31, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa  Serengeti,  Dkt. Amsabi Mrimi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Machi 30, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa  Serengeti, Dkt.  Amsabi Mrimi kwenye Viwanja vya Bunge jiini Dodoma, Machi 31, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)