Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS MHE.DKT.PHILIP MPANGO KWA MARA YA KWANZA AWASILI OFISINI KWAKE...

MAKAMU WA RAIS MHE.DKT.PHILIP MPANGO KWA MARA YA KWANZA AWASILI OFISINI KWAKE IKULU 

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango kwa mara ya kwanza amewasili Ofisini kwake Ikulu Chwamwino na kuzungumza na Viongozi wa Ofisi yake mara baada ya Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma kumuapisha kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo March 31,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.