Home Mchanganyiko VIONGOZI, WASANII NA MAELFU YA WANANCHI WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI...

VIONGOZI, WASANII NA MAELFU YA WANANCHI WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI DKT MAGUFULI KIJIJINI CHATO MKOANI GEITA

0

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdullah akiongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121

Joseph, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitoa heshima zake za mwisho katika Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121

Viongozi mbalimbali wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  katika Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121

Makamanda wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini
 Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121

Sehemu ya ndugu wa karibu wa marehemu wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121

PICHA NA IKULU