Home Mchanganyiko ZANZIBAR YASIMAMA WAKATI MWILI WA HAYATI DKT JOHN POMBE MAGUFULI ULIOPOPITISHWA MITAANI...

ZANZIBAR YASIMAMA WAKATI MWILI WA HAYATI DKT JOHN POMBE MAGUFULI ULIOPOPITISHWA MITAANI BAADA YA MAELFU KUMUAGA UWANJA WA AMAAN

0

Taswira mbalimbnali za Maelfu ya wananchi wa Zanzibar wakiwa
wamejipanga barabarani  wakati mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania
Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli ulipokuwa unapelekwa Hiospitali
ya Jeshi katika kitongoji cha Bububu baada ya kuagwa na maelfu kwa
maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Amaan wakiongozwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi
leo Jumanne Machi 23, 2021

PICHA NA IKULU