Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA VIONGOZI NA WANANCHI WAKISUBIRI KUAGA MWILI WA HAYATI...

MATUKIO KATIKA PICHA VIONGOZI NA WANANCHI WAKISUBIRI KUAGA MWILI WA HAYATI DKT MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIJINI DODOMA

0

Picha mbalimbali za viongozi na wananchi ambao tayari wameshajitokeza katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kumuaga aliyekua Rais wa Tanzania Hayati Dk John Magufuli ambaye ataagwa kitaifa jijini hapa.

Baadhi ya wakuu wa wilaya mkoa wa Dodoma wakisubiri kutoa heshima zao za mwisho kwa Hayati Dk.John Magufuli uwanja wa Jamhuri ambapo kitaifa inafanyika Dodoma