Home Mchanganyiko RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.SAMIA SULUHU AWASILI JIJINI DODOMA

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.SAMIA SULUHU AWASILI JIJINI DODOMA

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa mara ya kwanza tokea kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo March 21,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa  alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa mara ya kwanza tokea kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo March 21,2021. (Picha na Ikulu)