Home Mchanganyiko MAELFU YA WANANCHI WAKUSANYIKA KUPOKEA MWILI WA HAYATI DKT.JOHN POMBE MAGUFULI JIJINI...

MAELFU YA WANANCHI WAKUSANYIKA KUPOKEA MWILI WA HAYATI DKT.JOHN POMBE MAGUFULI JIJINI DODOMA

0

Wakazi wa Dodoma walifika mapema Uwanja wa Ndege wa Dodoma kumpokea Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo Machi 21, 2021.