Home Mchanganyiko VIONGOZI MBALIMBALI WA CCM WASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI YA HAYATI DKT.JOHN POMBE...

VIONGOZI MBALIMBALI WA CCM WASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI YA HAYATI DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFISI YA CCM LUMUMBA

0

WAZIRI Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akisaini Kitabu cha maombelezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufulu aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 20-3-2021.

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akisaini Kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Lumumba.

RAIS Mstaaf wa Zanzibar wa Awamu ya Sita Mhe.Dkt. Amani Karume akisaini Kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

WAZIRI Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe. Samuel John Malecela akisaini kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa.

WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa Mhe. Kassim Majaliwa, alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 20-3-2021.

RAIS Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika leo.20-3-2021.

RAIS Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisaini kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt.John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania , alipowasili katika Afisi ya CCM lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 20-3-2021.(Picha na Ikulu)