Home Mchanganyiko MWENYEKITI CCM IRINGA AWAONGOZA MAMIA KUSAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO KIFO CHA RAIS...

MWENYEKITI CCM IRINGA AWAONGOZA MAMIA KUSAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO KIFO CHA RAIS DK.MAGUFULI

0

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa Said Rubeya awaongoza mamia kusaini daftari la maombolezo la kifo Cha aliyekuwa Rais wa TANZANIA kumwombea Dua hayati Rais John Pombe Magufuli katika ofisi ccm wilaya ya Iringa mjini