Home Mchanganyiko OFISI YA WAZIRI MKUU YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI –JIJINI DODOMA

OFISI YA WAZIRI MKUU YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI –JIJINI DODOMA

0

Sehemu ya Watumishi Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani (Machi 8, 2021) katika Uwanja wa Nyerere square Jijini Dodoma.Maadhimisho hayo yalipambwa na Kauli mbiu isemayo; Wanawake katika Uongozi, chachu Kufikia Dunia yenye Usawa.

Sehemu ya Watumishi Ofisi ya Waziri Mkuu wakifurahia siku ya Wanawake Duniani wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Nyerere square Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko akiwa na baadhi ya watumishi wa ofisi yake wakati wa maadhimisho hayo.

Baadhi ya Wahiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakimpokea mgeni rasmi wa maadhimisho hayo,Mhe Fatma Toufiq Mbunge Viti maalum Dodoma akiwasili katika viwanja Uwanja wa Nyerere square Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko akiwa na baadhi ya watumishi wa ofisi yake wakati wa maadhimisho hayo.

Watumishi wanawake kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wakicheza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2021.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko (mwenye miwani) pamoja na watumishi kutoka Ofisi hiyo wakicheza wakati wa maadhimisho hayo

Baadhi ya watumishi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wakiifurahia siku ya Wanawake Duniani wakati wa maadhimisho hayo.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko (mwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa ofisi yake wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo,Mhe Fatma Toufiq Mbunge Viti maalum Dodoma akiteta jambo na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu walioshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, katika Uwanja wa Nyerere Square Jijini Doodma.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)