Tanzania Makubaliano yaliyofikiwa yamejikita kwenye maeneo kuimarisha sekta za Akizungumza Ameongeza Alisisitiza Kadhalika “Kuna Prof. Pia Kwa Mkutano Mkutano |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi akizungumza kama Mwenyekiti wa Mkutano wa Sita wa Tume ya Pamoja ya Kudumu kati ya Tanzania na Burundi uliofanyika kwa ngazi ya Mawaziri mkoani Kigoma tarehe 5 Machi 2021. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje Burundi na Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo Mhe. Balozi Albert Shingiro ( wa pili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye (wa pili kutoka kulia), Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge (kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Burundi, Mhe. Isidore Ntirampeba (kushoto). Mkutano huo ulitanguliwa na Mkutano wa Wataalam ulifanyika tarehe 3 na 4 Machi 2021. |
Balozi Ibuge nae akizungumza wakati wa mkutano sita wa tume ya pamoja ya kudumu kati ya Tanzania na Burundi uliofanyika kwa ngazi ya Mawaziri |
Mawaziri wakibadilishana Hati hizo baada ya kusaini |
Sehemu nyingine ya Makatibu Wakuu wakifuatilia matukio mbalimbali ya mkutano wa sita wa tume ya pamoja ya kudumu kati ya Tanzania na Burundi |
Ujumbe wa Tanazania wakati wa mkutano |
Ujumbe wa Burundi |
Mhe. Prof. Kabudi akimpatia Mhe. Balozi Shingiro zawadi ya picha ya michoro maarufu ya Tingatinga zinazopatikana hapa nchini |
Mhe. Prof. Kabudi akimbidhi Mhe. Balozi Shingiro Kamusi ya Kiswahili ili kumwezesha kuendelea kuongeza msamiati wa Kiswahili ikiwa ni Lugha iliyokubalika kufundishwa nchini Burundi. |
Mhe. Balozi Shingiro akimkabidhi Mhe. Prof. Kabudi zawadi ya kikapu kinachotambulisha utamaduni wa Burundi |
Makatibu Wakuu nao wakipeana zawadi ambapo Balozi Ibuge anaonekana akimkabidhi Mhe. Ntirampeba zawazi ya Kamuzi ya Kiswahili |
Mhe. Ntirampeba nae akikabidhi zawadi kwa Balozi Ibuge |
Viongozi wa meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja |
Meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Jillyy Maleko ( wa tatu kushoto waliosimama) |
Meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja na Sekretarieti ya maandalizi ya Mkutano wa Sita wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Burundi |