Home Mchanganyiko RAIS WA ZANBZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMEZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA YA WAAGIZAJI...

RAIS WA ZANBZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMEZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA YA WAAGIZAJI WA VYAKULA NJE

0

WAZIRI wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shabaan akifuatilia mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akizungumza na Wafanyabiashara waagiziaji wa Vyakula kutoka Nje, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MFANYABIASHARA wa Kampuni ya EverGreen Ndg. Abdulghafour Ismail akizungumza changamoto za uagizaji wa bidhaa, wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) ikiwa ni muendelezo wa mkutano wake kuzungumza na Sekta binafsi uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-3-2021.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mfanyabiasha Bw. Christopher Kontonasios wa Kampuni ya ZANCHICK, wakati wa mkutano wake na Wafanyabiasha wanaoagiza bidhaa za vyakula kutoka Nje, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar,Mhe. Omar Said Shabaan.(Picha na Ikulu)

MFANYABISHARA wa kampuni ya Sab-Sahara Zanzibar Bw. Ali Salum Ali akizungumza na changia wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kuelezea changamoto zao katika uagizaji wa bidhaa kutoka nje.(Picha na Ikulu)

MFANYABIASHARA wa Kampuni ya Bopar Enterprises Zanzibar Bw. Said Nassir Bopar  akizungumza na kuchangia wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na kuwataka Wafanyabiashara kuwa na ushirikiani na katika biashara zao.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara waagizaji bidhaa za Vyakula kutoka nje, ikiwa ni muendelezo wa kuzungumza na Wafanyabisha wa sekta mbalimbali Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara wanaoagiza  bidhaa za Vyakula kutoka nje, akjisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na wafanyabiashara uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shabaan.(Picha na Ikulu)MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Bw.Nahat Mohammed Mahfoudh akizungumza na kutoa ufafanuzi wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Wafanyabiashara wanaoagiza Vyakula kutoka nje, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)