Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza akisisitiza jambo wakati kwa washiriki wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi leo tarehe 24 Februari 2021 katika ukumbi wa Samwel Sitta zilizopo Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yamewashirikisha viongozi kutoka Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) na United Democratic Party (UDP).Kulia ni Mwenyekiti wa mafunzo hayo Muhidin Mapeyo.
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza akisisitiza jambo wakati kwa washiriki wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi leo tarehe 24 Februari 2021 katika ukumbi wa Samwel Sitta zilizopo Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yamewashirikisha viongozi kutoka Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) na United Democratic Party (UDP).
Mkuu wa Sehemu ya Usajili wa Vyama vya Siasa toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) na Mwenyekiti wa mafunzo, Bw. Muhidin Mapeyo akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 leo jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) na United Democratic Party (UDP).
Naibu Katibu Mkuu – Bara wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Bw. Yustasi Rwamugira akichangia mada wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 leo jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) na United Democratic Party (UDP).
Katibu Mkuu wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Bw. Richard Lyimo akichangia mada wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 leo jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) na United Democratic Party (UDP).
Katibu Mkuu wa Chama cha United Democratic Party(UDP), Bibi. Saumu Rashid akichangia mada wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 leo jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) na United Democratic Party (UDP).
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 leo jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) na United Democratic Party (UDP).
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza (walio kaa kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) mara baada ya kumaliza mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi leo tarehe 24 Februari 2021 katika ukumbi wa Samwel Sitta zilizopo Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam.
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza (walio kaa kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha United Democratic Party(UDP) mara baada ya kumaliza mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi leo tarehe 24 Februari 2021 katika ukumbi wa Samwel Sitta zilizopo Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Kulia walio ka ani Kaimu Msajili Msaidizi anayeshughulikia Uchaguzi na Ruzuku, Bibi. Hollo Kazi. (Picha zote na ORPP).