Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania JWTZ CDF Jenerali  Venance  Salvatory Mabeyo (kushoto) wakati alipokuwa akizungumza nae leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha  tokea kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana  uliopita.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania JWTZ CDF Jenerali  Venance  Salvatory Mabeyo (kushoto) wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha  baada ya  kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana uliopita.[Picha na Ikulu